Mmonyoko wa fukwe tishio Wilaya ya Pangani
Habari kamili katika picha; ni eneo la Pangani mjini ambalo limekuwa likilika kwa kasi ya ajabu ambapo ndani ya kipindi cha miezi nane bahari imesosgea zaidi ya mita 50. hii ikiwa ni wastani wa mita 6.25 kwa mwezi.
Hali hii inatokana na kuongezeka kwa shughuli za binadamu baharini na katika fukwe amabzo hupelekea fukwe kushindwa kuhimili vishindo vya mawimbi ya bahari. Shughuli hizo ni kama uvuvi haramu, uendeshaji wa vyombo vya moto (magari na pikipiki) katika fukwe hususani eneo la Pangadeco.
Habari zaidi katika picha.