Tanzania makes strides in implementing 2014 Maputo declaration on fisheries
http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=84782
www.venturetz.blogspot.com
http://www.ippmedia.com/frontend/index.php?l=84782
~~On the 18th September 2015 the Watoto Foundation School organized a wildlife study tour to Mkomazi National Park to encourage students to discover the joys and challenges of wildlife and promote conservation of wildlife and nature in the country. As...
Ukweli kuhusu nguva huu hapa….!!!! Nguva au “ng’ombe wa baharini” ni viumbe wa baharini ambao hukua hadi kufikia mita 3 kwa urefu na uzito unaoweza kufikia kilo 400 hadi 500. Jina la ngo’mbe wa baharini linatokana na ukweli kwamba nguva hula majani ya...
Down at Imgiebah bay we stumbled upon a turtle who had become caught in some rope and a plastic bottle. DR-Z Mike comes to the rescue!!!..
Sea Turtle conservation initiatives in Tanzania Ex-sea turtle poachers now leading sea turtle conservation through nests monitoring and reporting all related illegalities along Tanzania coast. They conduct daily patrol to collect and recording all coastal...
~~Community theatre is one of the most effective tool for public awareness rising. This tool reaches wide range of community from children, youth and elders if not women and men at same time and place. This tool tends to provoke dialogue amongst audiences...
Mtoto wa kasa Baada ya kutotolewa na kutoka kwenye shimo ambamo kasa mkubwa aliweka mayai yake JE WAJUA KUHUSU KASA KIUMBE WA BAHARINI MWENYE MAAJABU KATIKA MAISHA YAKE Viumbe wengi baharini wapo katika hatari ya kutoweka duniani, hii ni kutokana na uharibifu...
Habari kamili katika picha; ni eneo la Pangani mjini ambalo limekuwa likilika kwa kasi ya ajabu ambapo ndani ya kipindi cha miezi nane bahari imesosgea zaidi ya mita 50. hii ikiwa ni wastani wa mita 6.25 kwa mwezi. Hali hii inatokana na kuongezeka kwa...
Mimi na Kasa..!!! Kasa na Mimi...!! kama asemamvyo Tabu Abdallah kutoka mtaa wa minondo, Temeke Dar es Salaam, Afisa muhifadhi wa viumbe wa baharini waliohatarini kutoweka duniani chini ya shirika lisilo lakiserikali Sea Sense.